SIKU YA SOKOINE MEMORIAL DAY (MARATHON) 2013 NA MAANDALIZI YA 2014 YAKO MBIONI.

Mh. Namelok Moringe Sokoine - Mbunge wa viti maalum CCM akikabidhiwa  cheti cha kushiriki mbio za Edward Moringe Sokoine Mini Marathon na mkuu wa mkoa wa Arusha Mh. Magesa Mlongo jana Wilayani Monduli Arusha.

Namelok Sokoine ni binti wa hayati Edward Moringe Sokoine ambaye ni mfano wa kuigwa na wanawake wote nchini kwa kusimama kidete katika maandalizi ya kumbu kumbu za baba yake, aliyefariki mnamo tarehe 12/4/1984 kwa ajali ya gari wakati huo akiwa ndiye Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

 Mgeni rasmi atakuwa Mh. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ambapo pia kutakuwa na michezo mingine, mengi zaidi msikilize Mh. Namelok hapo chini.
.
A Viongozi na wanafamilia wakishuhudia matukio ya michezo yaliyokuwa yakiendelea.
 Waziri waHabari Utamaduni na Michezo Dr. Fenella Mukangara akiwa na wabunge wakati wa mbio za Mini Marathon ya kumbu kumbu ya hayati "Edward Moringe Sokoine 2013" Wilayani Monduli siku ya jana.

SOURCE: ASILI YETU TANZANIA

Comments

Popular

GIDABUDAY KUHAMASISHA UJENZI WA KIJIJI CHA MICHEZO TANZANIA LENYE JINA YA MWANARIADHA MKONGWE BW.JOHN STEPHEN AKHWARI

Rio Olympics: Brazil win men's volleyball gold, GB's Joyce takes boxing silver – as it happened

Olympics 2016: Usain Bolt completes sprint double, Jade Jones retains taekwondo title

Rio Olympics: Swimmer Lochte apologises for 'robbery' saga