Posts

Showing posts with the label Michezo

Decta Tezforce Ashinda mbio za mita 5000 za Mapinduzi Festivals 2021

Image
  Vijana wakitimua vumbi katika mbio za  2nd Annual Mapinduzi Festivals 2021  ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,wakishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha. Decta Tezforce ashinda mbio za mita 5000 (5000m) kwa wanaume, kwa muda wa (14:29.31) akifuatiwa na Sylvester Simon (14:33.51) na wa tatu ni Joshua Elisante (14:52.40) mbio za  2nd Annual Mapinduzi Festivals 2021  ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,wakishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Wanawake watoana Jasho kwenye Mbio za Mapinduzi Festivals 2021, Arusha

Image
  Wanawake wakitoana Jasho kwenye mbio za  2nd Annual Mapinduzi Festivals 2021  ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,wakishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha.

Meya Azindua Mbio za Kilomita 5000 katika mbio za Mapinduzi Festivals 2021

Image
  Kutoka Kushoto: Bw. Jackson Jorwa, Kocha Francis John , Meya wa Jiji la Arusha, Mh. Maximillian Iraqhe , Mkurugenzi wa Gidabuday Sports Tourism Foundation, Bw. Wilhelm Gidabuday na Bw. Ndaweka wakiwasili kwenye mbio za  2nd Annual Mapinduzi Festival  ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,wakishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha. Meya wa Jiji la Arusha Bw. Maximillian Iraqhe akianzisha mbio za mita 5000 katika mbio za  2nd Annual Mapinduzi Festival  ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,wakishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha Mkurugenzi Mtendaji wa Gidabuday Sports Tourism Foundation , Bi. Eva Gidabuday ( Mwenye Koti la Njano) na waandishi wenzake wa mbio za  2nd Annual Mapinduzi Festivals 2021  ambaz

MEYA WA JIJI LA ARUSHA AHUDHURIA MBIO ZA MAPINDUZI FESTIVAL 2021

Image
Mkurugenzi wa Gidabuday Sports Tourism Foundation, Bw. Wilhelm Gidabuday akizungumza na wanahabari kusuhu mbio za 2nd Annual Mapinduzi Festival ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,akishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha. Mstahiki Meya wa Jiji la Arusha, Bw. Maximillian Iranqhe akiwasili kwenye mbio za  2nd Annual Mapinduzi Festival  ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,akishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwanja vya Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha. Meya wa Jiji la Arusha, Bw. Maximillian Iraqhe akizungumza na wanahabari kuhusu mbio za  2nd Annual Mapinduzi Festival  ambazo zilizoandaliwa na Gidabuday Sports Tourism Foundation ,akishirikiana na Chama cha Riadha cha wilaya na Mkoa wa Arusha, ambazo zilifanyika tarehe 14/03/2021 katika Viwan

GEAY, MATANGA AND OTHER TOP ATHLETES TO COMPETE AT MAPINDUZI DAY FESTIVITIES

Image
Gidabuday Sports Tourism Foundation in collaboration with Arusha Athletics Association is gearing up for the Zanzibar Revolutionary Day Festivities that will include 10 Kilometers Fun Run as well as several events of Track and Field.   The Track and Field events to be held will be as follows; 1)     5000 Meters for Men and Women 2)     800 Meters for Men and Women 3)     400 x 4 Relays for Men and Women 4)     200 Meters for Men and Women 5)     Long Jump for Men and Women  The rare and unique combination of fun run and track meet will be held at the famous Sheikh Amri Abeid Stadium in Arusha on January 12 th 2020. Emanuel Giniki Gisamoda and Alphonce Felix Simbu - the London World Championships Bronze Medalist will be present as well as other national and world class athletes.   Head of coordinating team Eva Gidabuday is pleased to see outburst of support from various sources including athletes themselves, clubs, coaches and media as well as Athletics T

Nitaanzisha matembezi ya KM 1300 kuchangisha fedha za kujenga ofisi na kambi ya kudumu ya RT.

Image
Na Victor Machota, Arusha. Katibu Mkuu wa chama cha Riadha Tanzania Wilhelm Gidabuday ni mmoja kati ya watanzania waliokwisha kutoa jasho, kushinda njaa na kupata maumivu, ilimradi sekta ya riadha ililetee Taifa heshima kama waasisi wa mchezo wa riadha nchini walivyojitoa hapo awali kuliwakilisha Taifa letu vyema katika mashindano ya kimataifa. Wilhelm amekuwa mfano katika harakati za kuboresha riadha toka hata kabla hajawa kiongozi katika riadha, mfano mzuri ni pale alipoamua kutembea umbali wa kutoka Bagamoyo hadi Ujiji kuhamasisha riadha hapa nchini, huku akiungwa mkono na wazalendo wachache wenye moyo na kiu ya kuboresha riadha nchini. Lakini pia amekua ni muanzirishi wa Sokoine Mini Marathoni ambayo hufanyika Monduli Juu kwa hayati Edward Moringe Sokoine. Sasa leo kupitia ukurasa wake wa Facebook, Katibu Mkuu Gidabuday ameonekana kudokeza matembezi mengine makubwa. Soma hapo chini alichoandika>>> "Sasa nalianzisha #Dude - miaka 7 iliyopita nilitembea kw

Tanzania's Alphonce Simbu and Kitur take the honours at the Standard Chartered Mumbai Marathon 2017

Image
Tanzania’s Alphonce Simbu crosses the finish line in 2.09.32 seconds to win the overall men’s title at the Standard Chartered Mumbai Marathon, 2017 on Sunday. Tanzania’s Alphonce Simbu and Kenya’s Bornes Kitur triumphed at the 14th edition of the Standard Chartered Mumbai Marathon 2017 on Sunday, winning in 2:09:32 and 2:29:02 respectively to take home first prize cheques of USD$42,000. It was a close finish for the Indian men at the Standard Chartered Mumbai Marathon this year with the finalists neck to neck till the 30 km mark. Sprinting across the finish line, Kheta Ram came in first, clinching the title with a timing of 2:19:51. Close on his heels was Bahadur Singh Dhoni who clocked his personal best and came in second with a timing of 2:19:57 and T H Luwang from Manipur who placed third with 2:21:19. Racing across the finish line for the Indian elite women was Jyoti Gawte from Maharashtra who was confident in her abilities from the start and finished with a timing of 2:50:53. Nex

Rio Olympics: Brazil win men's volleyball gold, GB's Joyce takes boxing silver – as it happened

Image
Just look at his face: Bruno Mossa de Rezende (left) after Brazil claimed gold in the men’s volleyball final. Photograph: Johannes Eisele/AFP/Getty Images Brazil did not win a lot of medals; but Brazil hosted the first ever Summer Olympic Games in South America, western countries criticized all efforts put up by South American supper power but they did not bother listening instead they did all they could and today they finished strong. Thanks Rio, thanks Brazil. We hope that some day African Continent will rewrite history to host the first ever Summer Olympic Games. www.gidabuday.blogsports.com wishes all Olympic travelers a safe flight out bounding to their home countries. See you in Tokyo Olympics 2020, god bless Olympics Games. By Wilhelm Francis Gidabuday @gidabudays       

Benki ya Azania yadhamini mashindano ya riadha kwa watoto

Image
Mfano wa namba za ushiriki wa AZANIA BANK KIDS RUN zitakazofanyika Juni 5 katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar Es Salaam Juni 5 mwaka huu Chama Cha Riadha Tanzania RT kinaandaa mashindano ya aina yake maalum kwa ajili ya watoto wa miaka 16 kwenda chini (Miaka 3 hadi 16) ili kuhamasisha michezo kuanzia umri mdogo. Mashindano hayo yatafanyika katika Viwanja vya Mnazi Mmoja kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 6 mchana. Zoezi la kwanza mapema siku hiyo itakuwa kugawa T/Shirts (Jezi) za kushiriki zitakazokuwa na alama ya Azania Bank Kids Run kwa washiriki wote watakaokuwa na namba za kushiriki. Usajili utaanza Alhamisi wiki hii katika matawi yote ya Benki ya Azania jijini Dar es Salaam na ofisi za Chama Cha Riadha uwanja wa Taifa. Mbio hizo zitakuwa za aina tano; watoto wa kati ya miaka 5 hadi 7 watashiriki kilomita 1, miaka 8 hadi 12 watakimbia kilomita 2 wakati wale wakubwa kati ya miaka 13 hadi 16 watakimbia kilomita 5.  Wale wadogo wa miaka 2 hadi 3 watashiriki

Taswira ya Dodoma Hapa Kazi Tu Half Marathon

Image
Mheshimiwa Waziri Mkuu mara baada ya kumaliza mbio za kilomita 2.5 Waheshimiwa mawaziri na wabunge wakiendelea na mazoezi yao siku ya mbio Filbert Bayi akiwa katikati ya waandishi na wadau waliokuwa wakimhoji siku ya mbio

Waziri Mkuu azindua mbio za Dodoma

Image
Baadhi ya Washiriki wa mbio za Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon wakishiriki mbio hizo mjini Dodoma Januari 30, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo wa pikipiki mshindi wa kwanza wa mbio za Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon upande wa wanaume, Emmanuel Giriki kwenye uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Januari 30, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza mbio za Wabunge za Hapa Kazi Tu Dodoma Half Marathon zilizoanzia Bungeni hadi uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma Januari 30, 2016. Kushoyo kwake ni Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye na kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson Mwansasu

Gidabuday amaliza # 6 mbio za nyika Marekani

Image
Sydney Wilhelm Gidabuday Sydney Wilhelm Gidabuday alimaliza mbio za nyika za kilomita 10 kwa kutumia dakika 29 sekunde 39 jimbo la Missouri nchini Marekani. Alishika nafasi ya sita kati ya wanariadha 246 ambao walifuzu kuwakilisha vyuo vyao katika mashindano ya fainali za National Collegiate Athletics Associations (NCAA) Katika mashindano hayo Gidabuday alianguka ikiwa amebakiza kilomita tatu, alipitwa na umati mkubwa, alipoinuka alianza tena kufukuza upepo na kuwakuta wengi waliompita akafanikiwa kuishia namba sita. Mshindi wa mbio hizo Alfred Chelanga alikimbia dakika 29 sekunde 24. Gidabuday aliiwezesha Adam State University kushika nafasi ya pili yeye akiwa mkimbiaji nambari moja wa chuo chake. “I fell half way through, but was able to finish 6 th with the time of (29:39), it socks to be beaten by those whom I know I could beat” Gidabuday aliyasema hayo akihojiwa na Espn-Tv.

Mafisadi Hananag wauza Viwanja, Vyanzo vya Maji

Image
Mt Hanang / Mlima wa tatu Tanzania Wilaya ya Hanang ina bahati ya kuwa na mlima wa tatu Tanzania (Mt Hanang 3,417m) baada ya (Mt Kilimanjaro 5,895m ) na (Mt Meru 4,565m) , milima yote mitatu ikiwa kanda ya kaskazini mwa Tanzania. Mwenyezi mungu ametujalia utajiri wa misitu, wanyama na maji, lakini binadamu wamekuwa mafisadi na wababe, kufikia hatua ya kubadili matumizi ya utajiri huu kwa kutumia mabavu, pesa na rushwa. Ni miaka mingi hivi sasa tangu serikali ilipoamuru wavamizi wa Bonde la mto Endamanang kuondoka, hata ilani iliwekwa na serikali; lakini kwa sababu ya ulafi wa baadhi ya maofisa wa jeshi la polisi wakishirikiana na viongozi wakuu wa wilaya ya Hanang wasio waaminifu ilani iliharibiwa, hadi leo hii Bonde la Endamanang bado linalimwa na watu kumi tu. Hawa hapa wanaolima Bonde la mto Endamanang lililopo Nangwa - Hanang kwa kulindwa na polisi wa Hanang ; (1)Nino Yahhi, (2)Sikukuu Axwesso, (3)Damasi Yatosh, (4)Disdery Yatosh,  (5)Izraeli